33 Kisha wakageuka na kukwea kwa njia ya Bashani; na Ogu mfalme wa Bashani akaondoka apigane nao huko Edrei, yeye na watu wake wote.
Kusoma sura kamili Hes. 21
Mtazamo Hes. 21:33 katika mazingira