Hes. 21:34 SUV

34 BWANA akamwambia Musa, Usimche; kwa kuwa nimekwisha mtia mkononi mwako, na watu wake wote, na nchi yake; nawe utamtenda kama ulivyomtenda Sihoni mfalme wa Waamori, aliyeketi Heshboni.

Kusoma sura kamili Hes. 21

Mtazamo Hes. 21:34 katika mazingira