Hes. 22:26 SUV

26 Malaika wa BWANA akaendelea mbele akasimama mahali pembamba sana, hapakuwa na nafasi ya kugeukia mkono wa kuume, wala mkono wa kushoto.

Kusoma sura kamili Hes. 22

Mtazamo Hes. 22:26 katika mazingira