Hes. 22:27 SUV

27 Yule punda akamwona malaika wa BWANA, akajilaza chini ya Balaamu; hasira yake Balaamu ikawaka, akampiga punda kwa fimbo yake.

Kusoma sura kamili Hes. 22

Mtazamo Hes. 22:27 katika mazingira