Hes. 22:34 SUV

34 Balaamu akamwambia malaika wa BWANA, Nimefanya dhambi; maana sikujua ya kuwa wewe umesimama njiani ili kunipinga; basi sasa, ikiwa umechukizwa, nitarudi tena.

Kusoma sura kamili Hes. 22

Mtazamo Hes. 22:34 katika mazingira