Hes. 22:38 SUV

38 Balaamu akamwambia Balaki, Tazama, nimekujia. Je! Mimi sasa nina uwezo wo wote kusema neno lo lote? Neno lile Mungu atakalolitia kinywani mwangu, ndilo nitakalolisema.

Kusoma sura kamili Hes. 22

Mtazamo Hes. 22:38 katika mazingira