Hes. 24:10 SUV

10 Hasira ya Balaki ikawaka juu ya Balaamu akayapiga makofi; Balaki akamwambia Balaamu, Nalikuita ili unilaanie adui zangu, na tazama, umewabariki kabisa mara tatu hizi.

Kusoma sura kamili Hes. 24

Mtazamo Hes. 24:10 katika mazingira