Hes. 24:9 SUV

9 Aliinama, akalala mfano wa simba,Na kama simba mke; ni nani atakayemstusha?Na abarikiwe kila akubarikiye,Na alaaniwe kila akulaaniye.

Kusoma sura kamili Hes. 24

Mtazamo Hes. 24:9 katika mazingira