17 Namwona, lakini si sasa;Namtazama, lakini si karibu;Nyota itatokea katika YakoboNa fimbo ya enzi itainuka katika Israeli;Nayo itazipiga-piga pembe za Moabu,Na kuwavunja-vunja wana wote wa ghasia.
Kusoma sura kamili Hes. 24
Mtazamo Hes. 24:17 katika mazingira