Hes. 26:63 SUV

63 Hao ndio waliohesabiwa na Musa na Eleazari kuhani; ambao waliwahesabu wana wa Israeli katika nchi tambarare za Moabu, karibu na Yordani, hapo Yeriko.

Kusoma sura kamili Hes. 26

Mtazamo Hes. 26:63 katika mazingira