Hes. 26:64 SUV

64 Lakini katika watu hao hapakuwa na mtu hata mmoja wa wale waliohesabiwa na Musa na Haruni kuhani; waliowahesabu wana wa Israeli katika bara ya Sinai.

Kusoma sura kamili Hes. 26

Mtazamo Hes. 26:64 katika mazingira