Hes. 27:7 SUV

7 Hao binti za Selofehadi wananena lililo haki; kweli utawapa milki ya urithi pamoja na ndugu za baba yao; nawe utawapa urithi wa baba yao.

Kusoma sura kamili Hes. 27

Mtazamo Hes. 27:7 katika mazingira