8 Kisha utanena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Mtu akifa, naye hana mwana wa kiume, ndipo utampa binti yake urithi wake.
Kusoma sura kamili Hes. 27
Mtazamo Hes. 27:8 katika mazingira