Hes. 5:4 SUV

4 Wana wa Israeli wakafanya vivyo, wakawatoa na kuwaweka nje ya marago; kama BWANA alivyonena na Musa, ndivyo walivyofanya wana wa Israeli.

Kusoma sura kamili Hes. 5

Mtazamo Hes. 5:4 katika mazingira