Hes. 6:2 SUV

2 Nena na watu wa Israeli, uwaambie, Mtu mume au mtu mke atakapoweka nadhiri kubwa, nadhiri ya Mnadhiri, ili ajiweke wakfu kwa BWANA;

Kusoma sura kamili Hes. 6

Mtazamo Hes. 6:2 katika mazingira