Hes. 6:3 SUV

3 atajitenga na divai na vileo; hatakunywa siki ya divai, wala siki ya kileo, wala asinywe maji yo yote ya zabibu, wala asile zabibu, mbichi wala zilizokauka.

Kusoma sura kamili Hes. 6

Mtazamo Hes. 6:3 katika mazingira