Hes. 6:9 SUV

9 Na kama mtu ye yote akifa ghafla karibu naye, akajitia unajisi kichwa cha kutengwa kwake, ndipo atakinyoa kichwa siku hiyo ya kutakaswa kwake, atakinyoa siku ya saba.

Kusoma sura kamili Hes. 6

Mtazamo Hes. 6:9 katika mazingira