Hes. 7:3 SUV

3 nao wakamletea BWANA matoleo yao, magari sita yenye mafuniko juu, na ng’ombe kumi na wawili; gari moja kwa wakuu wawili wawili, na ng’ombe mmoja kwa kila mkuu; nao wakayasongeza hapo mbele ya maskani.

Kusoma sura kamili Hes. 7

Mtazamo Hes. 7:3 katika mazingira