Hes. 8:13 SUV

13 Kisha utawaweka Walawi mbele ya Haruni, na mbele ya wanawe na kuwasongeza kwa BWANA wawe sadaka ya kutikiswa.

Kusoma sura kamili Hes. 8

Mtazamo Hes. 8:13 katika mazingira