Hes. 8:20 SUV

20 Basi Musa na Haruni, na mkutano wote wa wana wa Israeli, wakawafanyia Walawi mambo hayo; kama hayo yote BWANA aliyomwagiza Musa kwa habari za hao Walawi, ndivyo wana wa Israeli walivyowafanyia.

Kusoma sura kamili Hes. 8

Mtazamo Hes. 8:20 katika mazingira