12 wasisaze kitu chake cho chote hata asubuhi, wala wasimvunje mfupa wake; kama hiyo sheria yote ya Pasaka ilivyo ndivyo watakavyoishika.
Kusoma sura kamili Hes. 9
Mtazamo Hes. 9:12 katika mazingira