Hes. 9:13 SUV

13 Lakini mtu aliye safi, wala hakuwa katika safari, naye amekosa kuishika Pasaka, mtu huyo atakatiliwa mbali na watu wake; kwa sababu hakumtolea BWANA matoleo kwa wakati wake ulioamriwa, mtu huyo atachukua dhambi yake.

Kusoma sura kamili Hes. 9

Mtazamo Hes. 9:13 katika mazingira