Kum. 1:19 SUV

19 Tukasafiri kutoka Horebu, tukapita katikati ya jangwa lile kubwa la kutisha mliloliona, njia ile ya kuiendea nchi ya vilima vya Waamori, kama BWANA, Mungu wetu, alivyotuamuru, tukafika Kadesh-barnea.

Kusoma sura kamili Kum. 1

Mtazamo Kum. 1:19 katika mazingira