Kum. 1:22 SUV

22 Nanyi mkanikaribia kila mmoja wenu, mkasema, Na tupeleke watu mbele yetu, ili watupelelezee nchi na kutuletea habari za njia itupasayo kuipandia, na za miji tutakayoifikia.

Kusoma sura kamili Kum. 1

Mtazamo Kum. 1:22 katika mazingira