Kum. 1:25 SUV

25 Wakatwaa baadhi ya matunda ya nchi ile mikononi mwao, wakatuletea huku chini, wakatuletea habari tena, wakasema, Nchi hii anayotupa BWANA, Mungu wetu, ni nchi njema.

Kusoma sura kamili Kum. 1

Mtazamo Kum. 1:25 katika mazingira