Kum. 1:33 SUV

33 aliyewatangulia njiani, usiku kwa moto, kuwaonyesha njia mtakayoiendea, na mchana kwa hilo wingu, ili apate kuwatafutia mahali pa kusimamisha hema zenu.

Kusoma sura kamili Kum. 1

Mtazamo Kum. 1:33 katika mazingira