Kum. 1:39 SUV

39 Tena, wadogo wenu, mliosema watakuwa mateka, na wana wenu, wasiokuwa leo na maarifa ya mabaya wala mema, ndio watakaoingia, nao ndio nitakaowapa, nao wataimiliki.

Kusoma sura kamili Kum. 1

Mtazamo Kum. 1:39 katika mazingira