Kum. 1:4 SUV

4 alipokwisha kumpiga Sihoni mfalme wa Waamori, aliyekuwa akikaa Heshboni, na Ogu mfalme wa Bashani, aliyekuwa akikaa Ashtarothi iliyo katika Edrei;

Kusoma sura kamili Kum. 1

Mtazamo Kum. 1:4 katika mazingira