Kum. 1:42 SUV

42 BWANA akaniambia, Uwaambie, Msiende, wala msipigane; kwani mimi si kati yenu; msije mkapigwa mbele ya adui zenu.

Kusoma sura kamili Kum. 1

Mtazamo Kum. 1:42 katika mazingira