Kum. 1:8 SUV

8 Angalieni, nimewawekea nchi mbele yenu, ingieni mkaimiliki nchi BWANA aliyowaapia baba zenu, Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kwamba atawapa na uzao wao baada yao.

Kusoma sura kamili Kum. 1

Mtazamo Kum. 1:8 katika mazingira