11 BWANA akaniambia, Ondoka, ushike safari yako mbele ya watu; nao wataingia waimiliki nchi, niliyowaapia baba zao ya kuwa nitawapa.
Kusoma sura kamili Kum. 10
Mtazamo Kum. 10:11 katika mazingira