15 Tena, BWANA aliwafurahia baba zako, na kuwapenda, akawachagua wazao wao baada yao, naam, na ninyi zaidi ya mataifa yote kama hivi leo.
Kusoma sura kamili Kum. 10
Mtazamo Kum. 10:15 katika mazingira