4 Naye akaandika juu ya mbao mfano wa maandiko ya kwanza, zile amri kumi, alizowaambia BWANA huko mlimani toka kati ya moto siku ya mkutano; BWANA akanipa.
Kusoma sura kamili Kum. 10
Mtazamo Kum. 10:4 katika mazingira