Kum. 11:25 SUV

25 Hapatakuwa na mtu atakayeweza kusimama mbele yenu; BWANA, Mungu wenu, ataweka utisho wenu na kuhofiwa kwenu juu ya nchi yote mtakayoikanyaga, kama alivyowaambia.

Kusoma sura kamili Kum. 11

Mtazamo Kum. 11:25 katika mazingira