Kum. 11:29 SUV

29 Tena itakuwa, atakapokuleta BWANA, Mungu wako, na kukutia katika nchi uendeayo kuimiliki, ndipo uiweke baraka juu ya mlima wa Gerizimu, na laana uiweke juu ya mlima wa Ebali.

Kusoma sura kamili Kum. 11

Mtazamo Kum. 11:29 katika mazingira