1 Hizi ndizo amri na hukumu mtakazotunza kuzifanya katika nchi aliyokupa BWANA, Mungu wa baba zako, uimiliki, siku zote mtakazoishi juu ya nchi.
Kusoma sura kamili Kum. 12
Mtazamo Kum. 12:1 katika mazingira