Kum. 12:12 SUV

12 Nanyi mtafurahi mbele za BWANA, Mungu wenu, ninyi, na wana wenu, na binti zenu, na watumishi wenu wanawaume na wanawake, na Mlawi aliyemo malangoni mwenu; kwa kuwa hana sehemu wala urithi kwenu.

Kusoma sura kamili Kum. 12

Mtazamo Kum. 12:12 katika mazingira