Kum. 12:20 SUV

20 BWANA, Mungu wako, atakapoongeza mpaka wako, kama alivyokuahidi, nawe utakaposema, Nataka kula nyama, kwa kuwa roho yako yatamani kula nyama; waweza kula nyama, kwa kufuata yote inayotamani roho yako.

Kusoma sura kamili Kum. 12

Mtazamo Kum. 12:20 katika mazingira