Kum. 12:27 SUV

27 nawe zisongeze sadaka zako za kuteketezwa, nyama na damu, juu ya madhabahu ya BWANA, Mungu wako; na damu ya dhabihu zako uimwage juu ya madhabahu ya BWANA, Mungu wako, na wewe utakula nyama yake.

Kusoma sura kamili Kum. 12

Mtazamo Kum. 12:27 katika mazingira