7 na huko mtakula mbele za BWANA, Mungu wenu, nanyi furahini katika yote mtakayotia mikono yenu, ninyi na wa nyumbani mwenu, aliyokubarikia BWANA, Mungu wako.
Kusoma sura kamili Kum. 12
Mtazamo Kum. 12:7 katika mazingira