Kum. 13:4 SUV

4 Tembeeni kwa kumfuata BWANA, Mungu wenu; mcheni na kushika maagizo yake na kuisikia sauti yake, nanyi mtumikieni na kushikamana naye.

Kusoma sura kamili Kum. 13

Mtazamo Kum. 13:4 katika mazingira