Kum. 14:7 SUV

7 Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang’a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu;

Kusoma sura kamili Kum. 14

Mtazamo Kum. 14:7 katika mazingira