Kum. 15:15 SUV

15 Nawe kumbuka kwamba ulikuwa mtumwa katika nchi ya Misri, akakukomboa BWANA, Mungu wako; kwa hiyo mimi nakuamuru neno hili hivi leo.

Kusoma sura kamili Kum. 15

Mtazamo Kum. 15:15 katika mazingira