Kum. 15:2 SUV

2 Na jinsi ya maachilio ni hii, kila mkopeshaji na akiache alichomkopesha mwenziwe, wala asimlipize mwenziwe wala nduguye; kwa kuwa imepigwa mbiu ya maachilio ya BWANA.

Kusoma sura kamili Kum. 15

Mtazamo Kum. 15:2 katika mazingira