10 Nawe sikukuu ya majuma umfanyie BWANA, Mungu wako, kwa kutoa sadaka ya hiari ya mkono wako, utakayotoa kwa kadiri akubarikiavyo BWANA, Mungu wako;
Kusoma sura kamili Kum. 16
Mtazamo Kum. 16:10 katika mazingira