Kum. 16:13 SUV

13 Fanya sikukuu ya vibanda siku saba, utakapokwisha kuyakusanya yatokayo katika sakafu yako ya nafaka, na katika kinu chako cha divai;

Kusoma sura kamili Kum. 16

Mtazamo Kum. 16:13 katika mazingira