Kum. 16:2 SUV

2 Nawe umchinjie pasaka BWANA, Mungu wako, katika kundi la kondoo na la ng’ombe, mahali atakapochagua BWANA apakalishe jina lake.

Kusoma sura kamili Kum. 16

Mtazamo Kum. 16:2 katika mazingira