Kum. 16:4 SUV

4 Wala isionekane kwako chachu muda wa siku saba katika mipaka yako yote; wala katika hiyo nyama uchinjayo siku ya kwanza jioni, kisilale cho chote usiku kucha hata asubuhi.

Kusoma sura kamili Kum. 16

Mtazamo Kum. 16:4 katika mazingira