Kum. 16:6 SUV

6 ila mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, ndipo mtakapomchinja pasaka jioni, katika machweo ya jua, kwa wakati kama uliotoka Misri.

Kusoma sura kamili Kum. 16

Mtazamo Kum. 16:6 katika mazingira