Kum. 17:16 SUV

16 Ila asifanye farasi wake kuwa wengi, wala asiwarudishe watu Misri, ili apate kufanya farasi kuwa wengi; kwa kuwa BWANA amewaambia, Tangu sasa msirudie tena njia ile.

Kusoma sura kamili Kum. 17

Mtazamo Kum. 17:16 katika mazingira